ANDENDEKISYE C
Member
- Mar 5, 2012
- 90
- 23
Kontena Linahitajika:
Ndugu yangu ameomba nimuwekee tangazo hapa. Anatafuta Container / kontena la kupanga kwa kipindi cha miaka miwili. Kama unalo au ndugu yako analo naomba nijulishe, kuliko kukaa bure walau apata ya chai kila mwezi.