Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,736
- 39,838
jaribu kutumia imei na kuieka site zinazotoa information za simu kupitia imei then utapata clues nyengine.Nimeangalia ila ckufanikiwa nlichoona ni Imei number tu
Check IMEI - IMEI.info
jaribu kutumia imei na kuieka site zinazotoa information za simu kupitia imei then utapata clues nyengine.Nimeangalia ila ckufanikiwa nlichoona ni Imei number tu
Asante kiongozi....ntarejesha majibujaribu kutumia imei na kuieka site zinazotoa information za simu kupitia imei then utapata clues nyengine.
Check IMEI - IMEI.info
Me nitakupa ibm..i5..kwa laki 550000 tuu nicheki 0783380123Wakuu,
Natafuta kompyuta ya mpakato (laptop) yenye specifications zifuatazo au zinazokaribiana na hizo;
1. HDD: 500GB+
2. Processor: Core i5 au i7.
3. Operating System: Windows7 au 10 yenye 64-bit
4. Memory: 0.4k+ MB RAM
Budget yangu ni 800,000/=
Mwenye nayo anipm.
Karibuni.