Natafuta kiwanja

kipo mkuu , kipo hapa katavi wilaya ya Mpada kina sqm 120. au kama utahitaji kwa Dar es Salaaam nipigie 0657 145555
 
kama umejpanga vizuri kuna nyumba nzuri inaunzwa segerea milion 60! niya kisasa..na inauwanja mkubwa!!
 
nimekupata mkuu kweli ulichosema niko Dar, kiwanja kikiwa kinyerezi, pugu, kitunda, na sehemu nyingine yeyote mana kipato changu ni cha kawaida, ahsanteni na Mungu awabariki
 
mkuu kiwanja umepata bunju mita 30 kwa 40 bei ml 5, wazo 35 kwa 30 bei ml 4.8 na mivumoni 45 kwa 30 bei ml 6 kwa maelezo zaidi piga 0714107215
 
nimekupata mkuu kweli ulichosema niko Dar, kiwanja kikiwa kinyerezi, pugu, kitunda, na sehemu nyingine yeyote mana kipato changu ni cha kawaida, ahsanteni na Mungu awabariki

Mkuu Kiwanja changu kipo Kigamboni Dar ni Milioni 4 tu nauza lakini hakina hati kipo Dege Kigamboni kama unakihitaji tuwasiliane
 
nimekupata mkuu kweli ulichosema niko Dar, kiwanja kikiwa kinyerezi, pugu, kitunda, na sehemu nyingine yeyote mana kipato changu ni cha kawaida, ahsanteni na Mungu awabariki
kuna viwanja 2 kimoja kipo changanyikeni wilaya ya ilala ni mbele ya Pugu kina sqm 726 kinauzwa 7m, kingine kipo buyuni kina sqm926 kinauzwa 11m.
 
habari wana JF, natafuta kiwanja kisizidi millioni sita, ahsanteni

Kipo 43 kwa 44 meters, Kibaha-visiga madafu, km toka morogoro road, kizuri, umeme na maji karibu, ni maeneo ya uwekezaji sana, hasa viwanda. Watu wanajenga sana! kiko flat na meimbe kwa ajili ya familia yako! nitumie msg, usipige 075434009
 
Kuna kiwanja hapa regent estate dar. Mwenye kafa na hama ndugu. Kinauza milioni 10....tu.unalipia serkali. Kwa mdada bei itapungua.
 
nina viwanja ninauza vya kuanzia shiling million 2 , chanika , na kuna viwanja vipo kingambo , vimepimwa na kuna barabara na miundo mbinu yote , vinaunzwa kwa sq meta ,= 15000/=, kuna kuhazia chenye ukumbwa wa 740m za eneo mpaka 1300 m za eneo , ikitanjia tuwasiliane Tel 0713 95-92-90
 
Nina viwanja ninauza vya kuanzia shiling million 2 , chanika , na kuna viwanja vipo Kingamboni , vimepimwa na kuna barabara na miundo mbinu yote , vinaunzwa kwa sq meta ,= 15000/=, kuna kuhazia chenye ukumbwa wa 740m za eneo mpaka 1300 m za eneo , ikitanjia tuwasiliane Tel 0713 95-92-90
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom