Natafuta Kiwanja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Kiwanja

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MachoMakavu, Nov 25, 2011.

 1. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Natafuta kiwanja

  Preference : Barabara ya bagamoyo ( Sala Sala, Tegeta au Boko) , Changanyikeni au Makongo Juu.

  Budget: Itategema na ukubwa wa kiwanja, eneo na land scape.
   
 2. S

  Shadya Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Nitumie no yako kam uko na nia kipo njia ya kwenda kinzudi karibu tu na shule ya msingi salasala bei ni ml 26. Uje ukione
   
 3. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #3
  Nov 28, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,827
  Likes Received: 926
  Trophy Points: 280
  kina ukubwa gani mkuu?
   
 4. M

  Mrekebishaji Senior Member

  #4
  Nov 28, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 168
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nipigie 0763 894508, nina uwanja km 7 toka wazo
   
 5. m

  mwanandugu Member

  #5
  Mar 29, 2014
  Joined: Mar 23, 2014
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kinyerezi-Kifuru, Dar es Salaam.
  Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
  00255784342632 au +255767342632
  E-mail : cosiastore@yahoo.fr

  1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

  2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
  Kimepimwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

  3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
   
Loading...