rodgers123
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 180
- 152
Kiko Maeneo gani kaka..? Una picha..?Ninacho njoo fasta kabla jumamosi wenzio hawajakidaka. Kimepimwa. Eneo tambarare
Nina Kiwanja, Sina picha, Ila negativu ninayo tutaenda shule ya Uhuru kusafisha.Kiko Maeneo gani kaka..? Una picha..?
he is joking, wewe humjui BujibujiKiko Maeneo gani kaka..? Una picha..?
Naomba details:Nina Kiwanja, Sina picha, Ila negativu ninayo tutaenda shule ya Uhuru kusafisha.
Kiwanja Kiko Madale Ushuani, very well planed area.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kmmmmmmmmm.....mmmmmkIla negativu ninayo tutaenda shule ya Uhuru kusafisha.
Apia...🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 kmmmmmmmmm.....mmmmmk
ms/enge sana we jamaa
disapiaApia...
Hiki Kiwanja nauzia dhiki tu, kimepimwa, kina sqm 400, na kwa hiyo hela yako kwa Kiwanja ambacho kiko surveyed hupati kokote. Nakutumia namba yangu ya simu, ukitaka nikakuoneshe hata leoNaomba details:
-Ukubwa wake ..?
-Bei yake..?
Njoo upate Kiwanja na wewe ukitakahe is joking, wewe humjui Bujibuji
mimi nauza changu kibaha, barabarani kabisa kongowe 3/4 of an acreNjoo upate Kiwanja na wewe ukitaka
Unauzaje mkuu?mimi nauza changu kibaha, barabarani kabisa kongowe 3/4 of an acre
Mkuu viwanja vipo.Wandugu,
Ninatafuta kiwanja maeneo ya Madale, Bunju, Goba , Kimara sema budget yangu ni 5m Tanzania shilling. Mwenye nacho ani PM.
Ukubwa kuanzia 800sqm kwenda juu.
WApiNinacho njoo fasta kabla Jumamosi wenzio hawajakidaka. Kimepimwa. Eneo tambarare
Bei ganimimi nauza changu kibaha, barabarani kabisa kongowe 3/4 of an acre