N.E.C.K
New Member
- Sep 20, 2011
- 2
- 0
Allepo ni maeneo gani?Kama utapata wazo jipya kuna kiwanja Allepo..ml2 tu heka 2
Allepo ni maeneo gani?Kama utapata wazo jipya kuna kiwanja Allepo..ml2 tu heka 2
Allepo ni maeneo gani?
Mkuu mama bado hujapata niambie nikutangazie cha kwanguWakuu habari,
Kama mnavyoona hali ya kifendha inakuwa ngumu kila kukicha kwa sisi wengine.
Jamani natafuta kiwanja maeneo haya Boko, Bunju, Salasala au Makongo juu.
Budjet yangu nio hiyo 8M. Kiwe kikubwa kidogo minimum 25 * 30.
Natanguliza shukrani.