Natafuta kiwanja kizuri chenye hati kigamboni

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Kwanza kabisa nafahamu madalali watakuwa wakwanza kunijibu na kunipeleka sehemu ambazo ziko kwenye mpango wa kutouzwa.
Kwa hiyo nawakanya mapema maana nishapelekwa sehemu nikaokolewa na mwenyeji wa kule akaniambia usije ukanunua sehemu hizo
sasa naomba nipate kiwanja ambacho kina hati na isizidi milion 6
naomba msaada
 
mbwambo wewe ni mwalimu?

unanijua...?:shut-mouth:
 
Kwanza kabisa nafahamu madalali watakuwa wakwanza kunijibu na kunipeleka sehemu ambazo ziko kwenye mpango wa kutouzwa.
Kwa hiyo nawakanya mapema maana nishapelekwa sehemu nikaokolewa na mwenyeji wa kule akaniambia usije ukanunua sehemu hizo
sasa naomba nipate kiwanja ambacho kina hati na isizidi milion 6
naomba msaada

Chenye hati Milion 6 labda uende Same au Ugweno ndiko utapata. Kigamboni no way, utatapeliwa tu mkuu.
 
mimi nina kiwanja kigamboni nauza ila hakijapimwa,kama unataka nitafute
 
mnatuchukia bure madalali sasa kiwanja chenye hati kigamboni kwa 6m? sijui cha ukubwa gani na sehemu gani kigamboni? kuna kiwanja cha sqm 380 kipo mwanzo mgumu ni km 25 toka feri kimepimwa na kina offer bei 5m. kama uko tayari nitafute uje uone ramani yake na ukutane na mmiliki mumalize biashara
 
Dalali mi natafuta shamba la ekari kama kumi huko kigamboni. Ila nataka liwe nje ya mji kabisa. Nataka kuishi huko mwenyewe, majirani sitaki
 
mashamba yapo mkuu tuwasiline
 
Wapendwa natafuta kiwanja maeneo hayo ila kiwe na hati na bei yake isizidi milion 6
asanteni
 
Dalali mi natafuta shamba la ekari kama kumi huko kigamboni. Ila nataka liwe nje ya mji kabisa. Nataka kuishi huko mwenyewe, majirani sitaki
Mimi sio dalali ila nafahamu maeneo ambayo unaweza kupata mashamba mazuri na mazao yote yanastawi ya chakula na biashara na unaweza kufuga mifugo yoyote. 0787232292
 
Kwanza kabisa nafahamu madalali watakuwa wakwanza kunijibu na kunipeleka sehemu ambazo ziko kwenye mpango wa kutouzwa.
Kwa hiyo nawakanya mapema maana nishapelekwa sehemu nikaokolewa na mwenyeji wa kule akaniambia usije ukanunua sehemu hizo
sasa naomba nipate kiwanja ambacho kina hati na isizidi milion 6
naomba msaada

Ushapata hivyo viwanja vya kupimwa vya mil6 kwa michuzi?
 
Chenye hati Milion 6 labda uende Same au Ugweno ndiko utapata. Kigamboni no way, utatapeliwa tu mkuu.

Mwambie huyu maana mbishi kweli,kiwanja cha kisasa lzm kiwe kikubwa ambacho unaweza kujenga nyumba na kupata sehemu ya garden,parking,makalo etc sasa kwa bei hyo labda ubena zomozi au mdaula,goba,mabebwande,,magubike Rasikutani au mwembe mdogo pemba mnazi.
 
Duh!!!!
 
Kipo kimoja karibu na kibada kina uref wa mita 30 na upana wa mita 30 kwa mita 20 upana wa upande 1 ni mfupi bei mil 4,upo sirias ntafute kwa 0716030083
 
Mkuu kuna kimoja kipo karibu na kibada ila hakijapimwa na bei yake ni mil 4, kina urefu wa mita30 na upana wa mita 25 kwa mita 16,kama wakipenda ntafute kwa 0716030083
 
Kama unataka kilichopimwa labda ingonje serikali itamgaze bei hiyo huwezi pata kwa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom