Natafuta Kiwanja Kibaha

Natafuta Kiwanja Kibaha

Kuna viwanja vipo Kibaha Kwa Mfipa Simbani, karibu na kituo cha watoto yatima cha mama Anna Mkapa, ukubwa kuanzia M 40 × 30. Huduma zote zipo maji, umeme, shule na kituo cha afya.

Kwa mawasiliano piga namba hizi: 0766 621600, 0625 918961.
Mmhhh
Ngoja
 
Bei gani vinauzwa
 
Kuna ekari 3 madina,km 6 toka morogoro road,pembeni ya secondary ya msangani,kila moja milioni 5,kwa mfipa kuna nusu eka ,km 2 toka morogoro milioni 8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom