Natafuta Kiwanja Kibaha

Getang'wan

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
1,821
Points
2,000

Getang'wan

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2015
1,821 2,000
Mji ni kweli unakua lakini usiingie kubanana mjini, tafuta maeneo ya pembezoni ambapo kwanza utapata eneo kubwa na bei rahisi lakini kwasababu ya ukubwa wa eneo, utakuwa na fursa ya kufanya mengi makubwa: kilimo cha mazao na ufugaji.
 
dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
988
Points
1,000

dtj

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
988 1,000
Nakupongeza sana kwa mang'amuzi yako.

Nimesha wahi hapo viwanja viwili chap lakini bei imechangamka kidogo.

Nakushauri ili usipigwe, nenda pale Halmashauri kama unatokea Mbezi Louis panda gari za Kibaha shuka Sheli nikituo mbele ya Maliasili kisha ulishuka utaona Jengo kwa Nyuma pale nenda hapo.

Ulizia viwanja kisha fabya survey mwenyewe katika hizo sehemu lazima utapata unapopataka.

Umuhimu wa kufabya hivi ni Uraisi wa wewe kupata hati Miliki haraka kuliko kununua kwa mtu mkononi itakupa gharama kubwa za kuja kupima na kuendelea na process za hatimiliki.

Regards.
 
No retreat no surrender

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2018
Messages
603
Points
1,000

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2018
603 1,000
Viwanja vilivyopimwa unajua bei yake? Vinauzwa kwa square meter kuanzia 12,000 hadi 15,000 kwa maeneo karibu na kibaha. Ukitaka unafuu inabidi uende kwa ndani sana. Nunua kwa MTU binafsi maeneo yaliyosurveyed makazi ya watu kwa bei ya kuanzia mil. 4 hadi 5 kulingana na ukubwa. 20x20 in mil. 4 umeme, maji, barabara, shule n.k vipo. Njooo PM tufanye biashara
 
dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
988
Points
1,000

dtj

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
988 1,000
Natoa Angalizo hapa.

Bure ya Gharama, Shortcut is always a long and Wrong cut. Fata taratibu za Nchi.

Nunua kiwanja Halmashauri kupitia kwa wanasheria wa halmashuri mambo ya kupewa unafuu wa kiwanja itakutokea puani.

Regards.
 
dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
988
Points
1,000

dtj

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
988 1,000
Viwanja vilivyopimwa unajua bei yake? Vinauzwa kwa square meter kuanzia 12,000 hadi 15,000 kwa maeneo karibu na kibaha. Ukitaka unafuu inabidi uende kwa ndani sana. Nunua kwa MTU binafsi maeneo yaliyosurveyed makazi ya watu kwa bei ya kuanzia mil. 4 hadi 5 kulingana na ukubwa. 20x20 in mil. 4 umeme, maji, barabara, shule n.k vipo. Njooo PM tufanye biashara
Kwanini uanze na kumtisha kuwa vilivopimwa ni gharama? Wewe unajua bajeti ya mdau hapo juu? Kakwambia anataka vya bei rahisi?
 
thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
3,349
Points
2,000

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
3,349 2,000
Nakupongeza sana kwa mang'amuzi yako.

Nimesha wahi hapo viwanja viwili chap lakini bei imechangamka kidogo.

Nakushauri ili usipigwe, nenda pale Halmashauri kama unatokea Mbezi Louis panda gari za Kibaha shuka Sheli nikituo mbele ya Maliasili kisha ulishuka utaona Jengo kwa Nyuma pale nenda hapo.

Ulizia viwanja kisha fabya survey mwenyewe katika hizo sehemu lazima utapata unapopataka.

Umuhimu wa kufabya hivi ni Uraisi wa wewe kupata hati Miliki haraka kuliko kununua kwa mtu mkononi itakupa gharama kubwa za kuja kupima na kuendelea na process za hatimiliki.

Regards.
Mkuu kama hautojali unaweza taja range ya bei
 
Gitarijosenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2019
Messages
270
Points
250

Gitarijosenga

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2019
270 250
Viwanja vilivyopimwa unajua bei yake? Vinauzwa kwa square meter kuanzia 12,000 hadi 15,000 kwa maeneo karibu na kibaha. Ukitaka unafuu inabidi uende kwa ndani sana. Nunua kwa MTU binafsi maeneo yaliyosurveyed makazi ya watu kwa bei ya kuanzia mil. 4 hadi 5 kulingana na ukubwa. 20x20 in mil. 4 umeme, maji, barabara, shule n.k vipo. Njooo PM tufanye biashara
Mmmmmh hii bei INA uwalakin kibaha hii ninayoifaham mim ?labda Njia nane ya Kimara kibaha ikamilike
 
Gitarijosenga

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2019
Messages
270
Points
250

Gitarijosenga

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2019
270 250
Nakupongeza sana kwa mang'amuzi yako.

Nimesha wahi hapo viwanja viwili chap lakini bei imechangamka kidogo.

Nakushauri ili usipigwe, nenda pale Halmashauri kama unatokea Mbezi Louis panda gari za Kibaha shuka Sheli nikituo mbele ya Maliasili kisha ulishuka utaona Jengo kwa Nyuma pale nenda hapo.

Ulizia viwanja kisha fabya survey mwenyewe katika hizo sehemu lazima utapata unapopataka.

Umuhimu wa kufabya hivi ni Uraisi wa wewe kupata hati Miliki haraka kuliko kununua kwa mtu mkononi itakupa gharama kubwa za kuja kupima na kuendelea na process za hatimiliki.

Regards.
Asante mkuu nitazingatia ushauri wako ,kibaha looks to be very potential in the near future
 
dtj

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2014
Messages
988
Points
1,000

dtj

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2014
988 1,000
Mkuu kama hautojali unaweza taja range ya bei
Mimi nilichukua Lulanzi kibaha, mshana jr atakua anapajua hapo.

Kuna jamaa yeye amepima viwanja vingi sana kisha ameshirikisha Halmashauri uuzwaji wake so unanunua halmashauri na wewe unapambania hati tuu maan vishapimwa.

Bei inategema Ila inaanzia Sqm 12000 kuendelea hapo kwakua kisha pimwa mzee wewe nikwenda Halmashauri na
1. Mkataba wa mauzo
2. Muhtasari
3. Copy ya Kitambulisho cha Taifa
4. Ramani ya upimaji

wao watakadilia malipo ya awali kufungulia file. Kisha utalipia izo gharama na tayari file la hati linakua tayari ukiwa na uhakika wa hati yako kazi kulia kodi ya mwaka serikalini lkn unakua legit.

Ni kweli Gharama inakua kubwa lkn bora hivyo ambavyo vimepimwa kuliko kununua kiwanja hasa CHA KUJENGA MAKAZI YAKO YA KUDUMU kwa mtu mtaani akupige Sqm 18,000 hapo sasa kuja kupata hati yako utaimba hallelujah tena kwa Hali ya uchumi wa sasa.

My take.

Be and Act Smart, usinunue kiwanja bila kwenda serikali za mtaa kujiridhisha umiliki, then nenda Ardhi Wilaya akuchekia usalama wa eneo kisha Andaa documents kwa malipo.

Mimi nishapigwa nimejifunza natoa somo nanyi mjifunze.

Regards.
 
loykeys

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
1,148
Points
2,000

loykeys

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
1,148 2,000
Natafuta Kiwanja kibaha ,maana nimeona utakuwa mji mzuri sana Wa kiviwanda na biashara ,niunganisheni wadau ni furusa zipi zinapatjkana kibaha CBD?
Kuna viwanja vipo Kibaha Kwa Mfipa Simbani, karibu na kituo cha watoto yatima cha mama Anna Mkapa, ukubwa kuanzia M 40 × 30. Huduma zote zipo maji, umeme, shule na kituo cha afya.

Kwa mawasiliano piga namba hizi: 0766 621600, 0625 918961.
 
thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
3,349
Points
2,000

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
3,349 2,000
Mimi nilichukua Lulanzi kibaha, mshana jr atakua anapajua hapo.

Kuna jamaa yeye amepima viwanja vingi sana kisha ameshirikisha Halmashauri uuzwaji wake so unanunua halmashauri na wewe unapambania hati tuu maan vishapimwa.

Bei inategema Ila inaanzia Sqm 12000 kuendelea hapo kwakua kisha pimwa mzee wewe nikwenda Halmashauri na
1. Mkataba wa mauzo
2. Muhtasari
3. Copy ya Kitambulisho cha Taifa
4. Ramani ya upimaji

wao watakadilia malipo ya awali kufungulia file. Kisha utalipia izo gharama na tayari file la hati linakua tayari ukiwa na uhakika wa hati yako kazi kulia kodi ya mwaka serikalini lkn unakua legit.

Ni kweli Gharama inakua kubwa lkn bora hivyo ambavyo vimepimwa kuliko kununua kiwanja hasa CHA KUJENGA MAKAZI YAKO YA KUDUMU kwa mtu mtaani akupige Sqm 18,000 hapo sasa kuja kupata hati yako utaimba hallelujah tena kwa Hali ya uchumi wa sasa.

My take.

Be and Act Smart, usinunue kiwanja bila kwenda serikali za mtaa kujiridhisha umiliki, then nenda Ardhi Wilaya akuchekia usalama wa eneo kisha Andaa documents kwa malipo.

Mimi nishapigwa nimejifunza natoa somo nanyi mjifunze.

Regards.
Safi sana na pole kwa maswahiba yakupigwa, mkuu naomba nije chemba.
 
Forum statistics

Threads 1,345,021
Members 516,116
Posts 32,843,777
Top