Natafuta kiwanja jijini Dar es salaam

Natafuta kiwanja jijini Dar es salaam

wounded man

Senior Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
165
Reaction score
243
Wakuu

Kwa mwenye kiwanja ambacho kinauzwa, kilichopimwa kisiwe mabondeni kisiwe mbali huduma za jamii, kwa kifupi kisiwe porini

Bajeti kisizid m2:
 
Kama unataka kisiwe porini nenda Posta na Kariakoo. Viwanja Dar hakuna vimebakia Pwani
 
Moja: Huwezi kupata kiwanja kilichopimwa Dar ( chenye hati miliki) kwa milioni 2 labda kama wewe mgeni Dar Es Salaam.

Pili: Huwezi kupata kiwanja cha Milioni 2 mjini achilia mbali kilichopimwa hata kisichopimwa. Hapa namaanisha maeneo ya Kinondoni yote, Ilala yote, Buguruni yote, Tabata yote, Temeke etc.

Tatu: Huduma za jamii kwa Dar Es salaam zinapatikana sehemu zote kuanzia mijini hadi nje ya mji.

Nne na mwisho: karibu chanika kuna viwanja hadi vya Milioni 1.5
 
Kwan chanika haipo mkoa wa dsm
 
Back
Top Bottom