wanajamvi mambo zenu, natafuta kiwanja cha makazi au hata shamba kiwe maeneo ya ifunda au kibaoni hadi kufika kule secondary hata kwa juu juu kule...mlioko iringa maeneo haya kama unamjua mtu ukani hook up nae ntashukuru, kama pia mnamjua mtu wa ardhi iringa naomba msaada wenu wanakaya..natanguliza shukrani.