Ngwathra
Platinum Member
- Jul 11, 2007
- 5,989
- 11,303
asante sana mkuu, huyo mwenye mali bei yake anauza sh ngapi? kwa kutumia uzoefu wa alivyokuuzia wewe
30 x 30 kwa 14M
asante sana mkuu, huyo mwenye mali bei yake anauza sh ngapi? kwa kutumia uzoefu wa alivyokuuzia wewe
Ka hutak unasepa, mi naringa eneo langu la ukwel, majiran zangu mabangaroo tuu, sasa kumbe ww unataka kujenga kinyumba kama choo, simihuzii maskin hali ya mnunuaji iwe nzuri sitak masikin uje kutuchafulia mtaa
achana nae huyo mkuu, ukisoma jina lake utagundua kuwa amepanga sinzaDuh kumbe wewe ni tajiri na hutaki maskini wakuchafulie neighbourhood.
Janguo tajiri mwenzio anauza 20000 per meter square amevipima wewe cha kwako 37500 na mbofumbofu.
achana nae huyo mkuu, ukisoma jina lake utagundua kuwa amepanga sinza
Ahahah sinza kwa wazaz goba kwngu
Ivi vi pre form 1 vipo vingi JF.
Wahitaji wenyewe wa viwanja wanamipasho hao kama Isha Mashauzi
mkuu goba sehem gani? ukubwa gani? na ilikuwa sh ngapi?
Natafuta kiwanja Goba chenye ukubwa wa meters kati ya 1500-2000.Kama kipo niambie kipo Goba sehemu gani, kina ukubwa wake halisi na bei yake hapa hapa jukwaani kabla hatujaingia PM.
NB: Ukubwa wa kiwanja na bei yake ni lazima zitajwe hapa wazi, biashara za kujificha ficha huwa sizitaki.
Asante.
asante SumiJr, mi sinunui kwa madalali. nimepitia post zako naamini wewe ni dalali. asante
umenielewa vibaya mkuu, nafahamu madalali wenye pesa kuliko hata JK. Madalali wengi wanapouza viwanja husema vyao, asante kwa taarifa.Kwahiyo Madalali hawana uwezo wa kumiliki viwanja? Icho kiwanja ni changu nakimiliki mwenyewe.
Udalali ni kazi tu, Ila usijari nilikuwa nakujuza tu..
asante sana mkuu, huyo mwenye mali bei yake anauza sh ngapi? kwa kutumia uzoefu wa alivyokuuzia wewe
ni PM namba yake ya simu mkuuKiongozi ushapata kiwanja? Jamaa alisafiri karudi sasa ana kiwanja cha 1600 sqm anauza kwa 24M kipo Goba container pale. Km 50M kutoka barabara mpya inayojengwa. 100M St Joseph secondary
ni PM namba yake ya simu mkuu
be blessed mkuuCheck pm mkuu
be blessed mkuu
Nenda Goba mwisho(centre) ulizia kwa mwanambilimbi alikua diwani mstaafu ana viwanja kibao.
Onyo madalali amtakiwi.