Mkuu sikumbuki ila nilishabahatika kupata kiwanja kizuri Goba. Si unajua unapotafuta kitu unakuwa na mitego mingi.SOORI MBISE! tulijadili kiwanja changu goba ukaniambia upo serious haukutokea tena!
Kwanini hamuwataki madalali?.
Natafuta kiwanja Goba chenye ukubwa wa meters kati ya 1500-2000.Kama kipo niambie kipo Goba sehemu gani, kina ukubwa wake halisi na bei yake hapa hapa jukwaani kabla hatujaingia PM.
NB: Ukubwa wa kiwanja na bei yake ni lazima zitajwe hapa wazi, biashara za kujificha ficha huwa sizitaki.
Asante.
Sawa supu ya mawe kweli matapeli wapo humu jf nimeshawauzia watu viwanja mpk vya mil 50 na kadhalika na sijawahi pata taarifa zozote zile kama nimeshawahi mtapeli mtu yyte.
kama siyo Mussa atakuwa Saidikunamatapeli sana kwenye hizi biashara za humu. kunajamaa niliona tangazo lake kwenye mtandao wa ujenzi zone. tukakubaliana kuonana huko goba kulangwa karibu na madale. Tukaonana akanionesha kiwanja na document za serikali ya mtaa. Na siku hiyo alikuwa na kanjanja mmoja aliyejidai kiongozi wa serikali ya mtaa. Siku ya kulipana tukakubaliana tukutane saa nane mchana. Mimi nikaenda hasubuhi nikafika serikali ya mtaa nikawaeleza. Wakaniambia huyo jamaa anayejidai kiongozi wa serikali ya mtaa ni uongozi uliopita ambao walikuwa mafisadi sana na wamesha waliza watu wengi. Tukaingia mtaani kuwatafuta wajumbe ili tufanye utafiti wa nani mmiliki wa eneo husika. tukafuatilia majirani na watu wanaofahamu. tukaja kugundua mmiliki ni Dr. mmoja wa mlimani. Jamaa alivyo kuja nikamwambia nipo serikali za mtaa akaingia mitini. Nikipiga sm hapokei.
mkuu goba sehem gani? ukubwa gani? na ilikuwa sh ngapi?Mkuu sikumbuki ila nilishabahatika kupata kiwanja kizuri Goba. Si unajua unapotafuta kitu unakuwa na mitego mingi.
asante sana mkuu, huyo mwenye mali bei yake anauza sh ngapi? kwa kutumia uzoefu wa alivyokuuzia weweKuna jamaa yangu ana eneo kubwa km hujapata nikuunganishe. Eneo lipo goba container. Ni mwenye mali na hata mimi nilinunua kwake
asante sana Pakawa, nimeamua kwenda kuishi goba na si kwingineko.Mkuu kipo kiwanja Makongo Juu lakini kipo bondeni barabara inafika kizuri kwa utensil wa ghorofa. Ni pm nitakupa details bei ni 40m -50m.
kina ukubwa gani na unauzaje?SOORI MBISE! tulijadili kiwanja changu goba ukaniambia upo serious haukutokea tena!
nitalifanyia kazi hilo mkuuNenda Goba mwisho(centre) ulizia kwa mwanambilimbi alikua diwani mstaafu ana viwanja kibao.
Onyo madalali amtakiwi.
bado mkuu, nilkutana na baadhi ya watu walikuwa ni matapeli tuzaa hizi kiwanja umeshapata
hahahaha,,,,,,, sqm 1000 wanauza kati ya mil 20 we na kiwanja chako cha kujengea choo unauza 15 m, ina maana wewe ungkuwa na na sqm 100 ungeuza 40m bei ambayo unapata kiwanja makongo juu cha sqm hizo hizo. Subiri mwaka 2079 ndio utauza kwa bei hiyo mkuuNna kiwanja 20 kwa 20 goba kinzudi umeme umepita barabara ipo, bei ni milion 15 no negotiation
Natafuta kiwanja Goba chenye ukubwa wa meters kati ya 1500-2000.Kama kipo niambie kipo Goba sehemu gani, kina ukubwa wake halisi na bei yake hapa hapa jukwaani kabla hatujaingia PM.
NB: Ukubwa wa kiwanja na bei yake ni lazima zitajwe hapa wazi, biashara za kujificha ficha huwa sizitaki.
Asante.
hahahaha,,,,,,, sqm 1000 wanauza kati ya mil 20 we na kiwanja chako cha kujengea choo unauza 15 m, ina maana wewe ungkuwa na na sqm 100 ungeuza 40m bei ambayo unapata kiwanja makongo juu cha sqm hizo hizo. Subiri mwaka 2079 ndio utauza kwa bei hiyo mkuu