Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,915
- 30,027
Tshs 70,000,000/Sqm 2,134Bunju square metre 2134 upande wa bahari 70m aina dalali hiyoo
=Tshs 32,802/Sqm,
Bei yenyewe ni Udalali tosha tayari
Tshs 70,000,000/Sqm 2,134Bunju square metre 2134 upande wa bahari 70m aina dalali hiyoo
Bunju Ardhi ipo juu mzee tena majiran wa hapo wameshapandisha magorofa maji umeme vyote vipoTshs 70,000,000/Sqm 2,134
=Tshs 32,802/Sqm,
Bei yenyewe ni Udalali tosha tayari
Ninacho goba...47x30 bei ni 38m kimepimwa contact meMaeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M.
Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!
Ahaaa sawa mm ni somangiraHuku mm pia ninacho Geza....
Mmhhh kwan wee na Putin hamna mpango wakujenga mpaka ukiuze kiwanja?.Sema kwa vile umetaja maeneo hayo mm ninacho kigamboni mkuu
Bunju ipi hiyo mkuu , mi nahitaji jirani na moga primary schoolBunju square metre 2134 upande wa bahari 70m aina dalali hiyoo
Tunampango sana wakujenga mkuu...isipokuwa tunavyo vya kutosha tu kwa hiyo tumeona sio mbaya kuuza hiki mkuu...umenipata 🙂Mmhhh kwan wee na Putin hamna mpango wakujenga mpaka ukiuze kiwanja?.
Sawa mkuuu nawaacha muoane !!.Tunampango sana wakujenga mkuu...isipokuwa tunavyo vya kutosha tu kwa hiyo tumeona sio mbaya kuuza hiki mkuu...umenipata 🙂
Mkuu salasala karibu na FEZA International a schools sqm2045 na hati juu milioni 35!!!!mkuu mimi naishi haya maeneo nakataa mkuu,ungekuwa umeuza zamani sana.Kipo salasala karibu na feza
Square meter 2045
Ni tambarare chote.
Kina tofali chache, kifusi na kokoto.
Hati ipo
Price fixed 35m
Na kingine kipo mbele yake (mwisho wa lami)
Kina sqm 4200
Hakina hati hiki.
Mkuu we we mtata,viwanja vyako vyote bei moja kuanzia salasala mpaka madale!Location: tegeta (madale)
Areas square meter: 1225 (35×35)
Documents available
Price: 35m
Njoo hata kesho asubuhi tufanye biasharaMkuu salasala karibu na FEZA International a schools sqm2045 na hati juu milioni 35!!!!mkuu mimi naishi haya maeneo nakataa mkuu,ungekuwa umeuza zamani sana.
Maeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M.
Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!