Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 589
- 278
Nicheki dm mkuuMkuu kipo sqm 600 kimepimwa hati safi mil 4.5
Nakucheki mkuuOfa Yako ikoje kipo swm1200 28m
lete kiwanja sheikh au unatuma mpaka mkoni?Akucheki DM - Maana Yale ndio Nini au DM ndo wapi uko
Mkishindwana mwambie aje Chalinze ninacho mil 3.[emoji23][emoji23]Njoo nkuuzie cha kwangu kipo chamazi ila ni mil 6
Kipo wapi Mkuu??Ofa Yako ikoje kipo swm1200 28m
Mkuu unacho maeneo ganikinyerezi 600qm kwa milion 5 utapigwa njoo DM nikukatie changu kipo barabarani karibia na kituo tu
Ushauri wangu,viwanja vizuri na vyenye usalama, hakuna buguza, umeme na maji na mahitaji mengine muhimu ya kijamii yanapatikana.Habari ndugu,
Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM
Shukrani.
Sinza Mori 40??? Weee unachekesha, sinza Viwanja/Pagale zinaanzia 80M mkuuKiwanjaa milion tano tena tabata ..hauko serious wew labda walau useme milion 30 au 40 hv namkumbuka jamaa angu anafanya kazi crdb. Hapo alinunua kiwanja maeneo ya sinza mori sq600 bei ilikuwaa milion 40
Mkuu kwa Bei hio embu tuwasiliane Uje Huku Kwetu kuna viwanja vya bei hio ila sio kwa size unayotaka.Kuna amacho kina ukubwa huo,hakina hati ila kinabei ya Mili 3.7.Kipo maeneo ya Mbutu Kichangani-Kimboni.Habari ndugu,
Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM
Shukrani.
karibia na shule ya kisungu ila nataka milion 13 kipo karibia na kituo tuMkuu unacho maeneo gani