DavidMoyes
Member
- Apr 22, 2014
- 52
- 15
Wadau nasaka kiwanja hapa Dar kwa bajeti tajwa hapo juu. Maeneo Kigamboni,Chanika,bunju au popote ambapo nitaridhika napo. Kwa mwenye nacho naomba ani PM,akieleza eneo kilipo,ukubwa wake (UREFxUPANA) na ukaribu wake na barabara/umeme etc.