Natafuta kiwanja cha makazi Mwanza

Uhurutzi

Member
Nov 9, 2021
6
1
Ndugu wanajukwaa natafuta, kiwanja cha kununua mkoani Mwanza kama inavyosomeka hapo katika kichwa cha huu Uzi.

Sifa: 400SQM, kiwe kimepimwa, kinafikika na barabara, hakina mgogoro wowote na pia hakipo Kisiwani.

Bajeti yangu TZS. 500,000/=,pesa ipo mfuko wa shati

NB:Sitaki tamaa na utapeli.
 
Back
Top Bottom