Natafuta kiwanja barabara kubwa-Dar

Unataka sehemu gani, Dar ni kubwa...mimi nina kiwanja Tegeta A kipo barabarani kama uko interested ni PM
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni), Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

Kiwanja kipo umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kinafaa kujenga frames za biashara. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.
 
Njoo ubungo msewe kama ni mfanyabiashara hutajuta, wateja wengi hasa wanafunzi wa udsm, biadhara kama supermaket, restaurant, nyumba za kupangisha, etc wasiliana nami bei ni only 30 mil kina nyumba ya two rooms. Kutoka kilipo kiwanja hadi udsm ni mita 200, ubungo mataa mita 400, morogoro road ni mita 200, usipange kukikosa, hakina dalali ni changu mwenyewe mawasiliano edu:0765599808
 
Ubungo mataa utapaweza? watakuja kujenga fly overs juu ya paa lako
 
Njoo ubungo msewe kama ni mfanyabiashara hutajuta, wateja wengi hasa wanafunzi wa udsm, biadhara kama supermaket, restaurant, nyumba za kupangisha, etc wasiliana nami bei ni only 30 mil kina nyumba ya two rooms. Kutoka kilipo kiwanja hadi udsm ni mita 200, ubungo mataa mita 400, morogoro road ni mita 200, usipange kukikosa, hakina dalali ni changu mwenyewe mawasiliano edu:0765599808

Mkuu hiki cha kwako kina ukubwa gani? Je kina hati? We ndio mmiliki?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom