Kunduchi Mtongani,Kwa ajili ya kujenga makazi. Kisizidi 10mil na malipo ni 5 days nikishakipenda. Mwenye taarifa ani pm tafadhali.
unauzaje na ni ukubwa gani?Kipo bunju kikubwa sana ila bajeti ndogo
Mkuu ni 35x56m bei 20.5M,unauzaje na ni ukubwa gani?