Natafuta kiwanja au shamba Dodoma mjini

Natafuta kiwanja au shamba Dodoma mjini

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
328
Reaction score
633
Habari wakuu. Natafuta kiwanja nje kidogo ya jiji la Dodoma at least kilomita 15 kutoka mjini.

Kiwe kimepimwa na ukubwa wake ukiwA 40x40 itapendeza zaidi.

Nimesema nje kidogo ya jiji kwa unafuu wa bei na pia itafaa kwa project zangu.
 
nenda jiji lipa 25000 kuna viwanja vya kila aina haina haja ya kutafuta madalali siku hizi hapa Dom ahsante
 
Back
Top Bottom