Natafuta kiwanja Arusha

Natafuta kiwanja Arusha

Heisenberg

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2017
Posts
1,688
Reaction score
2,981
Habarini wakuu wa makuhani. Hongereni na ibada za jumapili.

Natafuta Plot ya makazi Jijini Arusha. Napenda iwe maeneo yaliyopangiliwa. Sitaki makazi duni. Umbali usizidi 15 Km kutoka City centre.

Pia kama unafahamu kama kuna viwanja vya Jiji vinauzwa pia itakuwa vizuri sana maana hivyo huwa vina bei nzuri sana.

Naomba msaada wako
 
Unazo sh ngapi
 
Kipo longido 640 kwa 640 bei 6mil

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakuu wa makuhani. Hongereni na ibada za jumapili.

Natafuta Plot ya makazi Jijini Arusha. Napenda iwe maeneo yaliyopangiliwa. Sitaki makazi duni. Umbali usizidi 15 Km kutoka City centre.

Pia kama unafahamu kama kuna viwanja vya Jiji vinauzwa pia itakuwa vizuri sana maana hivyo huwa vina bei nzuri sana.

Naomba msaada wako
Ninacho Njiro na Sekei kama msuli mnene nicheck nikupeleke ukavione....Sqm 1200 na 1500 respectively.
 
Ninacho kwa Morombo nyuma ya shule ya Intel
kina ukubwa wa mita 17 kwa 20
bei m7 piga 0787984789.
 
Back
Top Bottom