Natafuta kiwanda cha maji (bottled water project)

Natafuta kiwanda cha maji (bottled water project)

Charlie chaplin

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
336
Reaction score
314
Wakuu natafuta kama kuna mtu anafahamu kiwanda kidogo cha maji (bottled water) chochote ambacho kimesimamaisha au mmiliki wa kiwanda cha maji ambaye amesimamisha production kutokana na changamoto za biashara na anahitaji kuungana na mwekezaji au kuuza kiwanda chake anicheki pm

Itapenda zaidi kiwanda location yake iwe Moshi Kilimanjaro kiwe kinategemea maji yanayotoka mlimani (springs za Kilimanjaro)

Awe anamiliki leseni na certification zote (haijalishi kama zimeisha muda wake we can renew)

Asanteni.
 
Wakuu natafuta kama kuna mtu anafahamu kiwanda kidogo cha maji ( bottled water) chochote ambacho kimesimamaisha au mmiliki wa kiwanda cha maji ambaye amesimamisha production kutokana na changamoto za biashara na anahitaji kuungana na mwekezaji au kuuza kiwanda chake anicheki pm

Itapenda zaidi kiwanda location take Iwe Moshi kilimanjaro kiwekinategemea maji yanayotoka mlimani ( springs za Kilimanjaro)
Awe anamiliki leseni na certification zote (haijalishi kama zimeisha muda wake we can renew)
Asanteni
Ok Nitakurejea
 
Mkuu kama ukiwa Interested au ukiwa na uwezo wa kupata mwekezaji Nina jengo la hotel vyumba 16 lipo njia panda Karibu na stendi ya mabasi naliuza au kuingia ubia jengo halijakamilika, Ni mali yangu pana title deed papo jirani barabara ya kuu ya lami
 
Back
Top Bottom