Utakuwa mhenga wewe..!Habari zenu wandugu,
natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
Utakuwa mhenga wewe..!Habari zenu wandugu,
natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
Mhenga wewe..???BONGOLALA kama unavyo basi weka biashara basi nashida sana na hicho kitabu tangu nikipoteze na miss hadith zake.
Ahsante mkuu sisi tulio mikoani tuambie uchumi supermarket ni wapi?.Hivi vitabu safi sana enzi zetu zile hasa kile cha Alfu Lela Ulela safari saba za SindbadMkuu nenda Uchumi supermarket vipo ht vya alfu lela u lela..ingawa naona ni version mpya bt hadithi ni zilezile.
Mtu asiyejua hivyo vitabu ajitoe kwenye Uhenga hiki sio chumba chakeUtakuwa mhenga wewe..!
Nisingekuwa mhenga ningekijuajeMhenga wewe..???
na mimi mkuu navihitaji ni PM tafadhali.
Vinapatikana kwenye maduka ya Elite book stores wapo Mlimani city,Mbezi beach na Quality Centre kwa sh elfu 10 tu. Nimekipata nimefurahi sana
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Enda Elite book utapata kwa elfu 10 tu. Nimekinunua huko last yrTusaidie mkuu.
Navihitaji, naweza kuvipata vipi?
ThankssssssssEnda Elite book utapata kwa elfu 10 tu. Nimekinunua huko last yr
Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Mtaa upi mkuuVipo vingi sana mtàani mkuu
Tusaidie mkuu.
Navihitaji, naweza kuvipata vipi?
Ninacho, ila sikiuzi.Habari zenu wandugu,
natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..
Samahani kama nitakosea spelling na hasa herufi a/h .Kitabu cha Ali Fulela ulela kipo?
Hekayaza AbunuawasiHabari zenu wandugu,
natafuta kitabu cha [Hekaya za Abunuwasi] hata kwa kununua ....kikiwa softcopy (pdf) au hardcopy ni sawa tu...ni PM kama unacho tufanye business..