Habari zenu wakuu naomba msaada mwenye kuuza kioo au tv yake mbovu lakin kioo kizima aniuzie kioo chake yaani roho inaniuma sana nikiangalia tu yangu haijavikisha wiki 1 kioo kimepasuka niliagizia kutoka Zanzibar tv yenyewe aina ya Toshiba inch 46 lcd
Kama unaweza kunisaidia kwa hili nicheki kwenye namba hii
0674 536633
Pole mkuu....
Kwa hizi tv za kisasa, gharama kubwa ya hiyo tv huwa ni kioo (display). Kununua kioo kingine inaweza kufika asilimia 70 ya gharama ya tv yenyewe!
Asante mkuu unavyosema ni kweli mana niliulizia kwa mafundi watatu tofauti tofauti bei zao 450,000/ 500,000/ wanacheza umo wengine wanasema hakipatikani ila mm nikipata mtu mwenye tv kama hii ni mbovu aniuzie kioo