Jamani , naombeni kujua kwa dar naweza kupata wapi kioo cha flat screen ya sing sung 32 inch kwa pale kariakoo duka gani naweza kupata . Au kama kuna mtu anaweza nipa mawasiliano / namba za simu za hayo maduka kwa dar

Bro kwa flat hiyo ndio TV hapo fanya mchakato wa kitafuta ingine tu.... Motherboard ni 25000 tu na vikolombwezo vingine haifiki laki bei inayobaki iko kwenye screen bro..... Ushauri wangu nunua nyingine tu. Mimi samasung led 40" niliinunua millioni moja repair ya kioo wakanoambia lako sita nikawaambia wakae nayo tu....