ukipata kwa hiyo bei huyo ataekuuzia hakikisha
sio teja na wala haja kiiba,mpige maswali sana
Unaweza ukapata only if Muuzaji ana ndugu yake yuko ICU
Na hela pekee anayotegemea akamuokoe ndugu yake ni
kwenye hicho king'amuzi,tofauti na hapo 70,000 ni nyingi ila si kwa AZAM.