Weka viambatanisho vifuatavyo
1,Mshahara au kipato chako cha mwezi ni Million ngapi
2.Una magari mangap,aina gani na rangi gani?
3.Una nyumba ngapi
4.Umezaa watoto wa nje wangapi?usije ukampa shida mtoto wa mwanaume mwenzio buree... Kwa vifaranga kibao ulivyototoa pembeni
5.Mwisho kabisa weka copy ya cheti chako cha angaza(immuno status)
Nina uhakika hapo utapata mwanamke tu kama credits zako zinasoma juu!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums