Natafuta kijiwe!

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
799
Natafuta kijiwe cha kufanya kazi na watu Kama independent consultant; resource mobilisation, fundraising, proposal writing etc.
 
Nenda tandale kwa tumbo, mtogole au popobawa, kuna vijiwe vingi tu, unajifanya mhuni labda upewe kwenye kampuni yenu
 
Nenda tandale kwa tumbo, mtogole au popobawa, kuna vijiwe vingi tu, unajifanya mhuni labda upewe kwenye kampuni yenu

Napenda amani kaka, jibu lako ni kama hujanielewa! mm si mhuni nimetumia lugha rahisi tu; we unaona shughuli zangu zinaendana na mambo ya kihuni? please give encouraging remarks/response or else usijaribu hata kusoma uzi husika!
 
Siku nyingine tumia lugha itakayoendana na hadhi unayotaka ukizingatia kuwa hapa wanapita watu wa rika zote na hadhi tofautitofauti,unaweza ukakosa nafasi kwa sababu tu ya jinsi ulivyojiwasilisha.Imagine nina kampuni inayoweza kufanya kazi na wewe,napita huku nakutana na post kama yako.ntakuona ni muhuni na ambae utai regard kampuni yangu kama kijiwe tu. Aliyekujibu hapo juu kafuata mkondo ulioanza nao wewe mwenyewe. It is a free advice, if at all you are serious then know how to work on it.
 
siku nyingine tumia lugha itakayoendana na hadhi unayotaka ukizingatia kuwa hapa wanapita watu wa rika zote na hadhi tofautitofauti,unaweza ukakosa nafasi kwa sababu tu ya jinsi ulivyojiwasilisha.imagine nina kampuni inayoweza kufanya kazi na wewe,napita huku nakutana na post kama yako.ntakuona ni muhuni na ambae utai regard kampuni yangu kama kijiwe tu. Aliyekujibu hapo juu kafuata mkondo ulioanza nao wewe mwenyewe. It is a free advice, if at all you are serious then know how to work on it.

my thanks to you, i appreciate your guidance and the comment! Will work on it brother!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom