Aisee ndugu zangu xaxa mambo yamekuwa tyt na umri huu wa miaka 22 najihc kama mzee kulingana na hali ya sasa kama kuna nafasi za kazi kwnye hzo sector tusaidiane kukaa mtaani ni miyeyesho me najua nafac za kazi zpo sema roho mbaya zetu wa Tz.
=Jipu;5293408]Aisee ndugu zangu xaxa mambo yamekuwa tyt na umri huu wa miaka 22 najihc kama mzee kulingana na hali ya sasa kama kuna nafasi za kazi kwnye hzo sector tusaidiane kukaa mtaani ni miyeyesho me najua nafac za kazi zpo sema roho mbaya zetu wa Tz.
Watu wakufanyie roho mbaya wanakujua mkuu? Acha kuwa na mawazo mgando, omba kazi kwa ustaarabu utapata tu, jiamini mdogo wangu.
N.B
Kwenye mambo muhimu kama haya ya kuomba Kazi jaribu kuandika kwa ustaarabu basi mzee, kweli inasaidia sana kukujua ni mtu wa namna gani alafu watu wakikupuuza unasema roho mbaya ya waTanzania!
Huo ni ushauri tu ukiukubali chukua ni bure ukiona vipi achana nao.
form four mkuu
Halaf huyu anaesema mwenzie anamdomo mchaf hana nia kabisa ya kumsaidia jamaa kapewa ushaur mzur hapo juu na kaukubal sasa ndugu yangu mtanzania mwenzangu mwenye moyo wa ukarim na nia ya dhat naomba tumsaidie kijana mwenzetu!
Earnite - Earn 3$ for every link opening by your friends
click hyo link kijana utapata ajira get register yo self gangamara kaka
Aisee ndugu zangu xaxa mambo yamekuwa tyt na umri huu wa miaka 22 najihc kama mzee kulingana na hali ya sasa kama kuna nafasi za kazi kwnye hzo sector tusaidiane kukaa mtaani ni miyeyesho me najua nafac za kazi zpo sema roho mbaya zetu wa Tz.
nitumie ujumbe mfupi kwenye ndiyomkuusana@yahoo.com, nikusaidie