muneera75
Senior Member
- Oct 12, 2019
- 190
- 318
Habari zenu,
Jamani mi natafuta kibarua cha miezi michache miwili au mitatu tu. Nishamaliza field nimekaa tu home kurudi chuo ni mpaka mwazi wa tatu mwishoni. Sasahii hali ya kukaa nyumbani tu hufanyi chochote na maisha ni magumu sana.
Nilikua naomba mwenye connection yoyote hata dukani naweza kuuza vipodozi, nguo, duka la chakula na sehemu nyingine. Ikiwezekana gapa Dar es salaam itakua rahisi zaidi hata kwenye swala la nauli.
shukrani.