Natafuta kibarua Arusha

princ kadur

Member
Mar 12, 2020
62
51
Habari wakuu natafuta kibarua katika kada yoyote profile yangu kwa ufupi hii hapa.Natanguliza shukrani.

Jinsia: Mwanaume
Umri: Miaka 26
Elimu: Certificate in Telecommunication
Mahali: Arusha Sakina.
 
Nakupa ushauri nenda pale machinjioni nunua utumbo na kwato za elfu 70 Kisha njoo hapo njiapanda kwa idd chamsha vzr kongoro na utumbo uive vzr

Pale hakuna anae uza kongoro kwa SAS Wai hiyo fursaa mtaji jumla laki na nusu kila kitu Hadi saa tatu zausku umeuza laki tatu toa zaga zote uanzo elf 50 yako kwa siku Kisha 50000/ x 30 day uanpata 1500,000 je utatataka Kaz gani tena
 
Shukran mkuu kwa ushauri.
 
Pole mkuu ila panua wigo wako wa kutafuta riziki, chukua kozi ya udereva wa magari makubwa, pata driving licence +nenda AA upate international one(ingawa sio muhimu sana),tafuta passport, omba ndugu na marafiki wakuchangie few usd, elekea Poland 🇵🇱, madereva wa trunks huko ni hot 🔥 cake kwa sasa, pigana maana Zimbabweans na zambians nao wanaelekea huko,good luck
 
Pole mkuu ila panua wigo wako wa kutafuta riziki, chukua kozi ya udereva wa magari makubwa, pata driving licence +nenda AA upate international one(ingawa sio muhimu sana),tafuta passport, omba ndugu na marafiki wakuchangie few usd, elekea Poland , madereva wa trunks huko ni hot cake kwa sasa, pigana maana Zimbabweans na zambians nao wanaelekea huko,good luck
Shukran mkuu
Passport ninayo tayar
Nijitahidi hapo kwenye driving licenc.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom