Habari zenu jamani
Mimi hapa natafuta kazi yoyote iliyo halali hata ya kuuza duka la vyakula sawa maana hapa nilipo sina hata sehemu ya kulala nimehifadhiwa kwa rafiki yangu. Nipo dar ni mwanaume elimu yangu ni Bachelor degree of science in food science and Technology. Nisaidieni jamani naumbuka napatikana kwa 0758 106 501. Nimejaribu kutafuta sehemu mbalimbali lakini mpaka sasa bado kimya tu.