Tatizo la watz wengi wanapenda kupewa mahope, nimempa facts, mim nina masters degree ya tax administation, nilimaliza cho miaka 4 iliyo pita ckupata kazi, nilishauriwa niongeze elimu, nilifiata ushauri huo. Leo mim ni lecturer ktk taasisi fulani hapa bongo, how does it sound? Nasisitiza arudi shule, unapo ongeza elimu ni kwamba unasogea kwenye daraja la wachache upo?
kichoi naomba unisaidie ushaur ivi master maana yake nin na je nitawezaje kusoma master wakat cna ata experience je nitasema ninaenda kumaster kitu gan
techman asante ila ninaposema tax ninamaana ni maswala ya kodi
Hivi unaanzaje kuropoka kwa mwenzio kiasi hicho. wacha ujinga wewe. unataka JF ionekane haina maana yeyote? Ama kweli ukitaka kujua mtu ni mjinga kiasi gani chunguza mambo anayoyafanya akiwa peke yake.Elimu yako bado ndogo, huwezi pata kazi. Ushauri, rudi darasani.
Hivi unaanzaje kuropoka kwa mwenzio kiasi hicho. wacha ujinga wewe. unataka JF ionekane haina maana yeyote? Ama kweli ukitaka kujua mtu ni mjinga kiasi gani chunguza mambo anayoyafanya akiwa peke yake.