natafuta kazi

miriam

New Member
Nov 12, 2009
1
0
Mimi ni msichana ambaye nina elimu ya kidato cha nne pamoja na ujuzi wa kompyuta na nimesha fanya kazi ya u-typist lakini mkataba wangu ulisitishwa na kudhulumiwa haki zangu sikulipwa hata shilingi na hadi sasa nahangaikia malipo yangu.

Naombeni jamani msaada wenu kupata kazi ili hata mimi niweze kujikimu.
 
Umeandika na hapohapo ukatoweka online.

Ulidhulumiwa haki zako? Zipi? Kulikuwa na mkataba wa kazi? Unazijua haki zako? Una hakika ukipata kazi kwingine hutadhulumiwa haki zako? Upo wapi hasa? Mtwara au Singida?
 
sio vizuri sana wakati unaomba kazi au kufanya jambo lingine ukaanza kulalamika kwani kuna ambao wataona kuwa pengine unachohitaji ku kuonewa huruma zaidi na kupewa nafasi kwa upendeleo jambo ambalo kwangu nafikiri sio lizuri sana ulichokifanya kuweka hadhari kuwa unatafuta kazi ni jambo lizuri ili kuanza kusema ulizulumia sifikiri kama ni sasahihi hata hivyo kuna ofis natehgemea kuifungu hivi karibu ila kwauhakikika zaidi nafasi itakuwepo kuanzai januari ila sasa sijui uko mkoa gani hapo tanzania nivizuri ukawasilia nami kwa email kitalolo@gmail.com yhen tukaona uwzekana ya kukupa nafasi ya kutunza ofisi
 
kitalolo na mie natafuta kazi silalamiki mwenzio
miriam utapata usikate tamaa
 
Umeandika na hapohapo ukatoweka online.

Ulidhulumiwa haki zako? Zipi? Kulikuwa na mkataba wa kazi? Unazijua haki zako? Una hakika ukipata kazi kwingine hutadhulumiwa haki zako? Upo wapi hasa? Mtwara au Singida?

na mie nashangaa ni muajili gani huyo alomdhurumu haki yake
Binti kama alikuwa na mkataba ana uwezo wa kwenda mahakamani kutoa malalamiko yake
 
muelekeze akasome nini coz yeye ndio ameshafika, amesema kuwa anahitaji kupata ajila ili apate pesa ya kujikimu, sasa hayo masomo ataweza kweli kulipia??

Wakuu sio mimi niliyeandika, kuna mwana JF mmoja alipita akakuta screen yangu ipo wazi aka post reply.

By the way nashauri angeenda CBE kusoma Certificate then Diploma then akifaulu asome full Adv Diploma/degree coz route ya form six haiaminiki sana.
 
CBE hawahitaji tuition fees?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom