Natafuta kazi

Natafuta kazi

Kama yuko serious nafikiri ushauri huu ni mzuri lakini anatakiwa kuongeza mtaji awe kama na elfu hamsini hivi maana vifaa vilivyotajwa gharama yake ni zaidi ya elfu ishirini, aongeze na jiko la mkaa pia. Kama yuko tayari wana JF tumsaidie, wakijitokeza watu kumi tukimrushia elfu 5 kila mmoja zitamsaidia, mimi niko tayari kumrushia hiyo elfu 5 baada ya kuungwa mkono na wengine.

Safi sana kaka Mi nipo teyari kumrushia elfu 10 kama yupo teyari kuchukua huo ushauri na baada ya kuungwa mkono na wenzangu
 
unaweza kuhudumia Banda la ng'ombe: kukata nyasi, kulisha, kukamua maziwa??
 
sasa we binti unatafuta kazi tunakuambia kazi za ndani unakataa wakati unasema kazi yeyote? be serious mbona mmi nilivomaliza form four 2002 nilikosa ada ya kuendelea kutokana na hali ya family yangu na nilikua na div 4 point 26 na credit 3 nilifanya kazi za ndani na mshahara ulikua 35,000/ mpaka mwaka 2004 nilikusanya fedha ukitoa matumizi madogomadogo nilikua na laki 480,000/= nikaamua kuacha nikaanza kozi ya full secretarial na nilikua najilipa mwenyewe kwa muda wa mwaka mmoja, ada kwa mwezi ilikua 25,000/= mwaka 2005-2006 kwenye chuo kinachoitwa MOMESCO hapa Arusha,.nilimaliza 2006 mwezi wa nane so nikaanza kuapply kazi sehemu mbalimbali hasa viwandani na kupita kuomba kwenye stationaries mwezi wa wa 12, 2006 nikapata kazi katika kampuni inayoitwa darsh ipo themi wanaoishi arusha wanapafahamu mshahara ulikua 90,000/= pamoja na manyanyaso ya wahindi nilivumilia nikafanya nikiwa na lengo la kuendelea kusoma nikawa najiwekea akiba wakati huo naishi kwa yule mama nliekua nafanya kazi kwake kwa muda wote huo alikua kama ndugu yangu, mpaka mwezi wa 12, 2007 nilikua nimeshajikusanyia kama laki 7 nikitoa na matumizi madogomadogo mengi yakiwa ni nauli tu maana msosi ulikuwepo ofisini na kulala ilikua bure nilikua bahili sana kwani nilijua ni nin ninachofanya,.kuna binamu yangu anaishi dar kipindi cha nyuma nilimwombaga msaada akakaa kimya ila nilivyompa wazo la kusoma form 5 akaahidi kunisaidia akaniita dar, nikaenda nikiwa na lak 7 kwenye account nikijisemea akinizingua nitatafuta shule nipige mwenyewe,. akanipeleka boko basihaya kulikua na kituo chenye program ya QT na five na six kwa mwaka mmoja , nikapiga pale kuanzia february 2008 nikichukua HKL hadi february 2009 nikafanya mtihani wa form six, na kufaulu kwa div 2.10 nikachaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma october 2009 bachelor of arts in Sociology bodi nao hawakunisahau nikapata 90% ya mkopo, kwa raha zangu nikaweka mikono juu nikatupa shida chini nikaanza kuburudika na boom huku baadhi ya ndugu waliokua wananidharau hawakuamini na wengi wao walikua wanaomba tu account namba yangu kiukweli nilitoka kimaisha kwani first year tu account yangu ilikua ina zaidi ya mil 2.5 ondoa boom.nikafanikiwa kugraduate nov 2012 nikarud arusha napiga tu shughuli za kijasiriamali wale waliopo arusha karibuni Victory Collection karibu na Crown hotel mje mpendeze na kupata maushauri ya kutoka kimaisha, kuna post nilipost kuwa sociologist wa arusha mbona sioni kazi? maana nataka kuongeza mtaji au hata kufanyia kazi kile nilichokisoma jamani.
NINI SABABU YAKUANDIKA YOTE HAYA?
Nataka kumtia moyo huyo binti anaesema kazi yeyote halafu anajikanyaga tena kwa kusema za ndani hataki,kumbuka kuwa ukiwa na nia utafanikiwa,kumbuka kuna usemi wanasema, no one can go back and change a bad begining, but everyone can start now and create a successessful ending. it is your time to act now bint, anza na kile unachoona kitakupa manufaa na kwa madhumuni gani, sisi wa vyuo vikuu kazi zinasumbua sembuse wewe wa form four? siku hizi huku arusha house girls ni form four sijui sehem zingine, hata huo ubaamed unaoambiwa sijui kama utaqualify coz wapo waliosoma hotel management, house keeping and housing so hata wafagiaji lazima uwe na uzoefu, so tuliza akili yako fikiri kwa makini then ndo uombe unachodhani kitakusaidia, hata tukikupa elfu kumikumi kila mdau wa jf haitakusaidia kama huna lengo hilo.
jamani samahanini sana kwa kuwachosha kwa maneno meengi. napatikana amelinechao@gmail.com
 
hongera sana mdada.
 
Ameline umetoa mchango mzuri sana; HONGERA. Angela22 upooo? au ulikuwa unabeep, watu wanapiga hupokei lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom