Natafuta kazi

Latifa2

Member
Sep 28, 2012
5
0
Wapendwa,natafuta kazi ya library,nina diploma ya library and information science.Yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali.
 
haya Latifa Nimekuelewa, Ila Jua Hapa Hutopata Kazi Na Kama Utapata Lazima Uwe Umejidhalilisha!
Baadhi Ya Watu Wa Hapa Nawajua Mwenyewe Na Roho zao Zenye Vitobovitobo vinavyopenyeza matone ya Ubinafsi!

Bora uungane nami kujiajiri hata kwa kulima Mchicha!
 
hii sio mara ya kwanza nakuona unamwambia mtu kuwa kutoa tangazo kama hili jf ni kujidhalilisha,WHY? kwanini unatumia muda wako mwingi kukatisha watu tamaa? kama unavyosema kuna watu wenye roho mbaya basi wewe ndio wa kwanza. mpe ushauri wa nini anaweza kufanya na sio kumwambia hawezi kupata anachotafuta, jaribu kufikiria kama hapa jamii forums kwenye members zaidi ya 100,000 unasema hawezi kupata msaada ni wapi unadhani atapata? badilika mTanzania dunia ya sasa ni ya utandawazi,wacha teknolojia ichujue nafasi yake.faida ya hii mitandao sio kuchat tu au kupeana habari za diamond anampenda wema.
 
"Roho zao zenye Vitobotobo"
 
Na Ndio Maana Nimemshauri Aungane Nami Kwa Kujiajiri Kulima Bustani Za Mbogamboga
Nilichoandika Kinahusu Sanaaa....
Na Kama Nimemkatisha Tamaa, Basi Hautakuwa Wa Kwanza kunikosoa Kwa Huu Ukweli Unaowachoma Wenye Roho Zinazopenyeza Matone Ya Ubinafsi!
Mimi Mwenyewe Yamenikuta Hayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom