Natafuta Kazi

Mercy Theino

New Member
Oct 18, 2012
3
0
Nimehitimu mafunzo ya Uhasibu ngazi ya stashahada katika Chuo cha Elimu ya Biashara Dodoma (CBE) 2012.Natafuta nafasi ya kakazi popote hasa mkoa wa Dodoma.Pia nina ujuzi wa matumizi ya compyuta na Accounting Packaging.Kwa mawasiliano zaidi namba yangu ni 0784261882.Email mtheino@yahoo.com.
 
Umemaliza chuo mwaka huu 2012, transcript umepata? jaribu kutafuta intern ktk bank, wizara pamoja na audit firm za hapo, kwa mfano COASCO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom