natafuta kazi

mtendakazi

Member
Mar 14, 2012
26
7
ndugu zangu wanajamii mimi ni graduate wa udaktari katika chuo chetu cha muhimbili . kufuatia kile kinachoeendelea katka sekta ya afya wito wangu wa kufanya udaktari nchini umepotea plz naombeni mnisaidie kupata nafasi ya kazi itokanayo na taaruma yangu tofauti na kazi ya kutibu
 
Nyie ndo wale mnaoenda medicine ilikupata sifa... ila sio kwa wito...wewe unadhani kuna kazi gani zaidi ya utabibu katika taaluma yako..??? alafu achenikutukatisha tamaa sisi ambao tunataka kuja kusoma fani hiyo
 
ayo mambo ya wito ya kizaman,we ngoja umalize chuo,utaona mziki wake.! Mambo ndivyo cvyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom