Mimi naitwa schola, jinsia ke, natafuta kazi iwe ya kuuza duka,sheli, ama kibarua biashara ndogo za sokoni,
Iwe eneo la, kahama, geita, shinyanga, mwanza.
Elimu: form four
Uzoefu: miaka miwili nlikuwa nauza na kusimamia biashara ya dagaa na samaki.
Namba ya smu ; 0768 522822,