Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 341
- 367
Naitwa Rich JM nipo dar, Yakaribia mwaka sasa natafuta ajira humu JF bado sijapata, ni bachelor degree holder of Accounting with IT.
Nina experience na accounting na auditing kwani nimekua nikifanya kama intern kwa mwaka mmoja sasa kwenye kampuni za engineering na real estates kubwa tu hapa dar. Ninaaacounting skills pamoja na auditing skills,tax returns and filling, statutory taxes (SDL, property tax,WTH,PAYE) dealing with receivable and payable accounts,payroll management, assisting in financial analysis and review, bank reconciliation.
Nauwezo pia na matumizi ya accounting softwares kama tally, quickbooks na kwasasa naendelea jifunza odoo new accounting system inatumiwa na kampuni ya real estate nayofanya sasa.
Naomba connection na sehemu naweza pata kazi zikiwa field ya account sawa au kazi zingine pia naweza fanya.
Uzoefu mwingine (sales and market -freelancer, data transcriber -researches, microfinances)
Mawasiliano.
0768842034
richjohnmashauri1@gmail.com