Natafuta kazi

Natafuta kazi

MsakaTong e

New Member
Joined
Apr 16, 2025
Posts
2
Reaction score
2
Ndugu zangu nahitaji kazi nipo KIBAHA MAILI MOJA, Kazi nazoweza kufanya ni

1.Ulinzi
2. Kuhudumia wateja eneo lolote la biashara au bar
3. kazi zote za nguvu hata viwandani
4. kazi za hotelini

Kama una kazi nipigie 0681050265 Asante. 🙏
 
Kibaha mbona kuna viwanda vingi kiongozi nenda kwenye kiwanda cha kleesoft kipo kibaha hapo wanalipa 7k per day
 
Back
Top Bottom