Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mssuya, Feb 29, 2012.

 1. Mssuya

  Mssuya Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi naitwa Ally nimemaliza masomo yangu ya PHARMACEUTICAL ASSISTANT Mwaka 2011 kwahiyo naomba kama kuna pharmacy inayohitaji fani hii au Hospital basi naomba tuwasiliane kupitia no.0763424125 ndo no. Yangu kazi njema
   
 2. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #2
  Feb 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu hongera kwa kuhitimu. jaribu kuji market kwa mtindo ufuatao. andaa Cv yako kamili toa kopi kadhaa, tuma maombi yako kwenye sehemu tofauti tofauti za kudaka ajira kisha tuma pia kwenye sehemu husika na kama uwezekano upo jitose live kwenye hizo sehemu Tell them why they need you instead of asking them weather they need you!! kwa mtindo mwingine Boost your Confidence to the Max. and go for it! kama wanahitaji hawakuachii. kila la kheri.
   
 3. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #3
  Feb 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongera kwa kuhitimu,hizo kazi ni nyingi kupita kiasi wala huitaji kutangaza,mahospitali yana shida sana na nyie,pharmacy do usiseme,dooo inaelekea wewe mgeni sana au hujui madawa? nenda hospitali yoyote ulizia tu utashangaa unapata,hindu mandali wametangaza wanahitaji,aghakhan,dr hameer hc faya,famacy za manzese karibia zote,faru ndo ya kwanza,nakiete kuna wawili wameacha,nenda kajaribu,na nenda mwenyewe na vyeti vyako tu, kikubwa ni unajua madawaa na unajua customer care?
   
 4. genius

  genius JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Nafasi za kazi ni nyingi sana. But am not sure if you have cleared up with pharmacy council
   
Loading...