Hongera kwa kuhitimu,hizo kazi ni nyingi kupita kiasi wala huitaji kutangaza,mahospitali yana shida sana na nyie,pharmacy do usiseme,dooo inaelekea wewe mgeni sana au hujui madawa? nenda hospitali yoyote ulizia tu utashangaa unapata,hindu mandali wametangaza wanahitaji,aghakhan,dr hameer hc faya,famacy za manzese karibia zote,faru ndo ya kwanza,nakiete kuna wawili wameacha,nenda kajaribu,na nenda mwenyewe na vyeti vyako tu, kikubwa ni unajua madawaa na unajua customer care?