Divah tz
Member
- Apr 26, 2023
- 41
- 85
- Thread starter
- #21
Kwa nini mkuu?Nimejikaza sana nisicheke nimeshindwa, hahahahahaha
Huku temeke
MhUnaweza weka picha yako hapa? Tuone kweli kama unaweza kazi au basi tu.
Vyeti ndo silaha dada angu. Mfumo wetu ndo unaamini hivyo, Mungu akujalie kila lenye heriNilisomea computer pia nilisomea business ila ada ikasumbua kdogo
SawaVyeti ndo silaha dada angu. Mfumo wetu ndo unaamini hivyo, Mungu akujalie kila lenye heri
Huyu jamaa chizi sana sidhan kama huyo dada anajua lingerie ni kitu gani😂😂Nimejikaza sana nisicheke nimeshindwa, hahahahahaha
Picha pls 🤣🤣Nina duka la lingerie njoo nikuoe kazi ya kusimamia. Mshahara laki 2
Njoo pm utaona picha. Vipi unataka kununua kifuniko cha asali na wewe 🤣🤣🤣🤣Picha pls 🤣🤣
Nataka kuja kukuungisha