Nickson Swai
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 597
- 553
Habari kwa jina naitwa Elifuraha Lyimo nipo Mabibo,Dar es salaam natafuta kazi ni mwalimu wa shule binafsi upande wa shule za msingi kwa masomo ya Mathematics, Civic and Moral, Social Studies kwa yoyote mwenye uhitaji anitafute kwa namba hii 0789386320 ahsante ni hilo tu pia hata Kazi nyingine naweza kufanya mfano Supermarket na sheli mwenye connection naomba mnisaidie ni hayo tu.