Natafuta kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta kazi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Phillipo.J.M, Dec 4, 2011.

 1. P

  Phillipo.J.M New Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Elimu yangu ni DIPLOMA IN SECONDARY EDUCATION, Natafuta kazi yeyote iwe ya ualimu au kazi yeyote ambayo inaweza kuendana na level yangu ya elimu.
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kiongozi una elimu gani? Diploma in Secondary education au Diploma in education kwahiyo ni mwalimu wa sekondari, hii diploma in secondary education inatolewa TZ? Mi nimezoea Certificate in secondary education au Advance certificate in secondary education, au vile niko kijijini siku hizi mambo ya mitaala yamebadilika labda huko mjini nimepitwa
   
Loading...