Natafuta kazi

Natafuta kazi

DoriG8889

Member
Joined
Dec 14, 2021
Posts
19
Reaction score
15
Mimi naitwa Doris Gabriel naishi Dar Nina certificate ya front office and customer care and telephone operating system.nilifanya field Dodoma Hotel,Serena Hotel, Strategies insurance,ninaomba kusaidiwa kupata kazi pia hata isipopatikana yenye taaluma yangu ila naweza kafanya Kaz nyingine pia hata zikipatikana za kusafiri na magari ya mikoani pia nitafanya Kama mhudumu naweza kuudumia wateja naomben msaada wenu nitashukuru mkinisadia Mungu awabariki, Asanteni
 
Weka picha yako tukuone ebu
 
Kampuni ya mabasi ya Baraka yametoa nafasi za uhudumu wa mabasi vigezo awe mwanamke mwenye muonekano mzuri, awe na professional ya customer care, jaribu kuomba
 
Hahaaa maswali yako sasa,
Ila mbona field ulifanya hotel kubwa kubwa, ulikosaje kosaje connection maana connection huanzia field.
Kama mwajiri lazima nimfahamu vyema mtafuta kazi.
Kwani kuna ubaya ndugu zangu?
 
Hahaaa maswali yako sasa,
Ila mbona field ulifanya hotel kubwa kubwa, ulikosaje kosaje connection maana connection huanzia field.
Serena Hotel mnakuta mnaofanya field sio chini ya watu 100 pia Dodoma Hotel sikuweza kuajiliwa maana nilianza kufanya field Dodoma Hotel,ilitakiwa nikimaliza nikanye field nyingine Serena Hotel na strategies nilipofanya field walinipenda hivyo wakanichukua Kama tempo kuna mtu alikuwa likizo
 
Back
Top Bottom