Natafuta kazi

Kaongeze elimu.
Acha majivuno na kujisikia kaka, akaongeze elimu ya kuvumilia makero au? Kuna watu wangapi wanafanya kazi na vyeti ije kuwa huyu wa diploma! Kule ulikosoma shule ya kata mwalimu wako ana degree ngapi?

Navichukia vijitu vinavyodhania mikaratasi mingi ndio kufanikiwa. Kama huna cha kumsaidia mtu, piga kimya. We ungekuwa na elimu ya kutosha usingetoa jibu la toilet namna hiyo. What if kuomba kwake kazi ndio mkakati wake wa kujiendeleza kielimu? Unaongea 'mashudu' as if akisema anataka kusoma wewe ndio unamlipia ada. Ungekuwa hapa karibu yangu saa hizi umeshachukua makofi kitambo
 
Nimeipenda hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom