mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,296
- 14,123
Hii ilikuwa utani tu mdogo wangu.Blaza maliza hii usiifanye big deal. Usitafute recognition kupitia post yangu. U know nothing kuhusu uzalendo.
Siwez kutafuta recognition eti kwa kupitia wewe.Ili nifaidike nini kwa mfano?