Natafuta Kazi

Natafuta Kazi

Okay guys nimeandika hii post just to know if there still people who can help without judging atlst try, mwaka jana kuna dada alikua anatafuta kaz huku watu walimuatak na maneno sn nilichukua no yake nikamsaidia infact niko nae mpk sasa kwenye kutafuta kaz ni mtu anashida na hela na muajiri anashida na mfanyakazi so vinategemeana co kwamba one is better than the other .karibuni I have a micro finance office tunakopesha vikund na nk.pia ujasiriamali kwa mahitaji ya cake aina zote unaweza kunitafuta kwa dar
Kwa iyo umegundua nin?


Au ulitegemea kuna mtu atakuwa serious kwa mtu ambae hayupo serious?

We ar nt fool to that extent.

Ngoma draw.
 
Acheni kumu-attack ngombe nyie mwenzenu anatafuta kazi yupo serious mnaleta uchoko huku watu wapo serious....acheni upuuzi....kama huwezi kumsaidia si utulie tu?
 
Kwa iyo umegundua nin?


Au ulitegemea kuna mtu atakuwa serious kwa mtu ambae hayupo serious?

We ar nt fool to that extent.

Ngoma draw.

Nimegundua wapo watu kama nyie ambao hamjui matumiz ya mitandao vzr, we are not hr to have fun wako watu wenye uhitaji hata wa ushauri u don’t need to atk anyone mshauri kama unaweza huwezi just keep quiet
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom